Zaburi 22:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Kinywani mwa simba uniokoe; Naam, toka pembe za nyati umenijibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Uniokoe kinywani mwa simba; iokoe nafsi yangu dhaifu toka pembe za nyati hao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Uniokoe kinywani mwa simba; iokoe nafsi yangu dhaifu toka pembe za nyati hao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Uniokoe kinywani mwa simba; iokoe nafsi yangu dhaifu toka pembe za nyati hao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Niokoe kutoka kinywani mwa simba, niokoe kutoka pembe za nyati. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Niokoe kutoka kinywani mwa simba, niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu. Tazama sura |