Zaburi 22:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kwa maana mbwa wamenizunguka; Kusanyiko la waovu wamenisonga; Wamenidunga mikono na miguu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Genge la waovu limenizunguka; wananizingira kama kundi la mbwa; wamenitoboa mikono na miguu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Genge la waovu limenizunguka; wananizingira kama kundi la mbwa; wamenitoboa mikono na miguu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Genge la waovu limenizunguka; wananizingira kama kundi la mbwa; wamenitoboa mikono na miguu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mbwa wamenizunguka, kundi la watu waovu limenizingira; wamenidunga mikono na miguu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Mbwa wamenizunguka, kundi la watu waovu limenizingira, wametoboa mikono yangu na miguu yangu. Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.