Zaburi 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa Bashani wamenisonga; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Maadui wengi wanizunguka kama fahali; wamenisonga kama fahali wakali wa Bashani! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Maadui wengi wanizunguka kama fahali; wamenisonga kama fahali wakali wa Bashani! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Maadui wengi wanizunguka kama fahali; wamenisonga kama fahali wakali wa Bashani! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira. Tazama sura |