Zaburi 21:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Utawafanya kuwa kama tanuri ya moto, Wakati wa ghadhabu yako. BWANA atawameza kwa ghadhabu yake, Na moto utawateketeza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Utakapotokea utawaangamiza kama kwa tanuri ya moto. Mwenyezi-Mungu atawamaliza kwa hasira yake, moto utawateketeza kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Utakapotokea utawaangamiza kama kwa tanuri ya moto. Mwenyezi-Mungu atawamaliza kwa hasira yake, moto utawateketeza kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Utakapotokea utawaangamiza kama kwa tanuri ya moto. Mwenyezi-Mungu atawamaliza kwa hasira yake, moto utawateketeza kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wakati utajitokeza, utawafanya kama tanuru la moto. Katika ghadhabu yake Mwenyezi Mungu atawameza, moto wake utawateketeza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wakati utakapojitokeza utawafanya kama tanuru ya moto. Katika ghadhabu yake bwana atawameza, moto wake utawateketeza. Tazama sura |