Zaburi 21:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Utukufu wake ni mkuu kwa wokovu wako, Heshima na adhama waweka juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kwa msaada wako ametukuka sana; wewe umemjalia fahari na heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kwa msaada wako ametukuka sana; wewe umemjalia fahari na heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kwa msaada wako ametukuka sana; wewe umemjalia fahari na heshima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu. Tazama sura |