Zaburi 21:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ee BWANA, mfalme atazifurahia nguvu zako, Na wokovu wako ataufanyia shangwe nyingi sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mfalme ashangilia, ee Mwenyezi-Mungu, kwa nguvu yako, anafurahi mno kwa msaada uliompa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mfalme ashangilia, ee Mwenyezi-Mungu, kwa nguvu yako, anafurahi mno kwa msaada uliompa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mfalme ashangilia, ee Mwenyezi-Mungu, kwa nguvu yako, anafurahi mno kwa msaada uliompa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ee Mwenyezi Mungu, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi furaha yake ilivyo kuu kwa ushindi unaompa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ee bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa! Tazama sura |