Zaburi 20:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 BWANA akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. Tazama sura |