Zaburi 2:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya dhidi ya Mwenyezi Mungu na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya pamoja dhidi ya bwana na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. Tazama sura |