Zaburi 19:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kicho cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni jambo jema, na la kudumu milele; maagizo ya Mwenyezi-Mungu ni sawa, yote ni ya haki kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni jambo jema, na la kudumu milele; maagizo ya Mwenyezi-Mungu ni sawa, yote ni ya haki kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni jambo jema, na la kudumu milele; maagizo ya Mwenyezi-Mungu ni sawa, yote ni ya haki kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kumcha Mwenyezi Mungu ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za Mwenyezi Mungu ni za hakika, nazo zina haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kumcha bwana ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za bwana ni za hakika, nazo zina haki. Tazama sura |