Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 19:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Nalo hutokeza kama bwana arusi akitoka chumbani mwake, Lafurahi kama mtu aliye hodari Kwenda mbio katika njia yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 linafanana na bwana arusi akitoka chumbani mwake, kama shujaa anavyofurahia kukamilisha kushindana kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 linafanana na bwana arusi akitoka chumbani mwake, kama shujaa afurahiavyo kukamilisha kushindana kwake.

Tazama sura Nakili




Zaburi 19:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yapate kuishika miisho ya nchi, Waovu wakung'utwe wakawe mbali nayo?


Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake.


Nitafurahi sana katika BWANA, nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu; maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bwana arusi ajipambavyo kwa kilemba cha maua, na kama bibi arusi ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu.


Maana kama vile kijana amwoavyo mwanamwali, ndivyo wana wako watakavyokuoa wewe; na kama vile bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi, ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe.


Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo