Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 19:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Ni za kutamanika kuliko dhahabu, Kuliko wingi wa dhahabu safi. Nazo ni tamu kuliko asali, Kuliko sega la asali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yatamanika kuliko dhahabu; kuliko dhahabu safi kabisa. Ni matamu kuliko asali; kuliko asali safi kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yatamanika kuliko dhahabu; kuliko dhahabu safi kabisa. Ni matamu kuliko asali; kuliko asali safi kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yatamanika kuliko dhahabu; kuliko dhahabu safi kabisa. Ni matamu kuliko asali; kuliko asali safi kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Ni za thamani kuliko dhahabu, kuliko dhahabu iliyo safi sana, ni tamu kuliko asali, kuliko asali kutoka sega.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Ni za thamani kuliko dhahabu, kuliko dhahabu iliyo safi sana, ni tamu kuliko asali, kuliko asali kutoka kwenye sega.

Tazama sura Nakili




Zaburi 19:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,


Mausia yako ni matamu sana kwangu, Kupita asali kinywani mwangu.


Ndiyo maana nimeyapenda maagizo yako, Kuliko dhahabu, naam, dhahabu iliyo safi.


Sheria ya kinywa chako ni njema kwangu, Kuliko maelfu ya dhahabu na fedha.


Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.


Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha.


Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema, Na sega la asali lililo tamu ulionjapo.


Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.


Nikakitwaa kile kitabu kidogo kutoka mkononi mwa malaika yule, nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali kinywani mwangu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo