Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 18:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Kamba za kuzimu zilinizunguka, Mitego ya mauti ikanikabili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 kamba za kuzimu zilinizinga, mitego ya kifo ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 kamba za kuzimu zilinizinga, mitego ya kifo ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 kamba za kuzimu zilinizinga, mitego ya kifo ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kamba za Kuzimu zilinizunguka, mitego ya mauti ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kamba za kuzimu zilinizunguka, mitego ya mauti ilinikabili.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Nilipata dhiki na mateso;


Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu;


Ee BWANA, unijibu, maana fadhili zako ni njema, Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.


Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.


Maana mwanadamu naye hajui wakati wake; kama samaki wanaokamatwa katika nyavu mbaya, na mfano wa ndege wanaonaswa mtegoni, kadhalika wanadamu hunaswa katika wakati mbaya, unapowaangukia kwa ghafla.


ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo