Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 18:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

49 Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu nitaliimbia sifa jina lako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu nitaliimbia sifa jina lako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu nitaliimbia sifa jina lako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Kwa hiyo nitakusifu katika mataifa, Ee Mwenyezi Mungu; nitaliimbia sifa jina lako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee bwana; nitaliimbia sifa jina lako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:49
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Nitaimba, nitaimba zaburi, Naam, kwa utukufu wangu.


Ee BWANA, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.


Ee BWANA, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.


Laiti wokovu wa Israeli ungetoka katika Sayuni! BWANA awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.


Ili nafsi yangu ikusifu, Wala isinyamaze. Ee BWANA, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.


Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.


Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda katika mlima wa Mizeituni.


tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.


Nakuagiza mbele za Mungu anayevihifadhi hai vitu vyote, na mbele za Kristo Yesu, aliyeyaungama maungamo mazuri yale mbele ya Pontio Pilato,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo