Zaburi 18:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Wageni nao walitepetea, Walitoka katika ngome zao wakitetemeka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Wageni walikufa moyo; wakaja kutoka ngome zao wakitetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Wageni walikufa moyo; wakaja kutoka ngome zao wakitetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Wageni walikufa moyo; wakaja kutoka ngome zao wakitetemeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka. Tazama sura |