Zaburi 18:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Umeniokoa kutoka kwa mashindano ya watu, Umenifanya niwe kichwa cha mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu, ukanifanya mtawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu, ukanifanya mtawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Wewe uliniokoa na mashambulizi ya watu, ukanifanya mtawala wa mataifa. Watu nisiowajua walinitumikia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; umenifanya kiongozi wa mataifa; watu ambao sikuwajua wananitumikia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, watu ambao sikuwajua wananitumikia. Tazama sura |