Zaburi 18:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Kamba za mauti zilinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kamba za kifo zilinizingira, mawimbi ya maangamizi yalinivamia; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kamba za kifo zilinizingira, mawimbi ya maangamizi yalinivamia; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kamba za kifo zilinizingira, mawimbi ya maangamizi yalinivamia; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kamba za mauti zilinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kamba za mauti zilinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea. Tazama sura |