Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 18:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Nitawafuatia adui zangu na kuwapata, Wala sitarudi nyuma hadi wakomeshwe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma hadi walipoangamizwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:37
14 Marejeleo ya Msalaba  

Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa.


BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.


Ee BWANA, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu.


Uishike ngao na kikingio, Uinuke unisaidie.


Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa BWANA akiwaangusha chini.


Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao BWANA watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.


Kwa nguvu zako tutawaangusha watesi wetu; Kwa jina lako tutawakanyaga watupingao.


Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako.


Nikaona, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda ana uta, akapewa taji, naye akatoka, huku akishinda tena apate kushinda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo