Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 18:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 Nawe umenipa ngao ya wokovu wako, Mkono wako wa kulia umenitegemeza, Na unyenyekevu wako umenikuza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Umenipa ngao yako ya kuniokoa; mkono wako wa kulia umenitegemeza; wema wako umenifanikisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Umenipa ngao yako ya kuniokoa; mkono wako wa kulia umenitegemeza; wema wako umenifanikisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Umenipa ngao yako ya kuniokoa; mkono wako wa kulia umenitegemeza; wema wako umenifanikisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Hufanya msaada wa wokovu wako kuwa ngao yangu, nao mkono wako wa kuume hunitegemeza; msaada wako umeniinua niwe mkuu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Hunipa ngao yako ya ushindi, nao mkono wako wa kuume hunitegemeza, unajishusha chini ili kuniinua.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:35
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe umenipa ngao ya wokovu wako; Na unyenyekevu wako umenikuza.


Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Aifundishaye mikono yangu vita, Na vidole vyangu kupigana.


Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kulia Uwaokoe kutoka kwa adui zao.


BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu. Moyo wangu umemtumaini, Nami nimesaidiwa; Basi, moyo wangu unashangilia, Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.


Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; BWANA, utamzungushia radhi kama ngao.


Wakuu wako wote wamekimbia pamoja, Wamefungwa wasiutumie upinde. Wote walioonekana wamefungwa pamoja, Wamekimbia mbali sana.


Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake, Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.


Basi, mimi Paulo mwenyewe nawasihi kwa upole na utaratibu wa Kristo; mimi niliye mnyenyekevu nikiwapo pamoja nanyi, bali nisipokuwapo ni mwenye ujasiri kwenu;


U heri, Israeli. Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na BWANA! Ndiye ngao ya msaada wako, Na upanga wa utukufu wako; Na adui zako watajitiisha chini yako, Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo