Zaburi 18:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Maana Wewe wawaokoa watu wanaoonewa, Na macho ya kiburi utayadhili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Wewe wawaokoa walio wanyenyekevu, lakini wenye majivuno huwaporomosha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Wewe wawaokoa walio wanyenyekevu, lakini wenye majivuno huwaporomosha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Wewe wawaokoa walio wanyenyekevu, lakini wenye majivuno huwaporomosha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini huwashusha wenye kiburi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini huwashusha wenye kiburi. Tazama sura |