Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 18:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Kwake ajitakasaye utajionesha kuwa mtakatifu; Na kwa mpotovu utajionesha kuwa mkaidi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Wewe ni mkamilifu kwa walio wakamilifu; lakini mkatili kwa watu walio waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Wewe ni mkamilifu kwa walio wakamilifu; lakini mkatili kwa watu walio waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Wewe ni mkamilifu kwa walio wakamilifu; lakini mkatili kwa watu walio waovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kwa aliye mtakatifu, unajionesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka, unajionesha kuwa mkaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka, unajionyesha kuwa mkaidi.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hakika yake huwadharau wenye dharau, Bali huwapa wanyenyekevu neema.


Je! Litasemwa neno hili, enyi nyumba ya Yakobo, Roho ya BWANA imepunguzwa? Je! Haya ni matendo yake? Je! Maneno yangu hayamfai yeye aendaye kwa unyofu?


dhiki na shida juu ya kila nafsi ya mwanadamu atendaye uovu, Myahudi kwanza na Mgiriki pia;


Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.


Kwa sababu hiyo, BWANA, Mungu wa Israeli, asema, Ni kweli, nilisema ya kuwa nyumba yako, na nyumba ya baba yako itakwenda mbele zangu milele; lakini sasa BWANA asema, Jambo hili na liwe mbali nami; kwa maana wao wanaoniheshimu nitawaheshimu, na wao wanaonidharau nitawadharau.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo