Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 18:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Ndipo BWANA akanilipa sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu mbele zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu; yeye ajua kwamba mikono yangu haina hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu; yeye ajua kwamba mikono yangu haina hatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mwenyezi-Mungu amenituza kadiri ya uadilifu wangu; yeye ajua kwamba mikono yangu haina hatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mwenyezi Mungu amenilipa sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu machoni pake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu machoni pake.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Maana wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao; na kwao mwisho wa mashindano yote ya maneno ni kiapo, kwa kuyathibitisha.


BWANA akujaze kwa kazi yako, nawe upewe thawabu kamili na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kukimbilia chini ya mabawa yake.


BWANA humlipa kila mtu kulingana na haki na uaminifu wake; maana BWANA amekutia mikononi mwangu leo, nami nilikataa kuunyosha mkono wangu juu ya masihi wa BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo