Zaburi 18:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Nami nilikuwa mkamilifu mbele zake, Nikajilinda na uovu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mbele yake sikuwa na hatia; nimejikinga nisiwe na hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mbele yake sikuwa na hatia; nimejikinga nisiwe na hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mbele yake sikuwa na hatia; nimejikinga nisiwe na hatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. Tazama sura |