Zaburi 18:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Maana nimezishika njia za BWANA, Wala sikumwasi Mungu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Maana nimefuata njia za Mwenyezi-Mungu, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Maana nimefuata njia za Mwenyezi-Mungu, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Maana nimefuata njia za Mwenyezi-Mungu, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa uovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa maana nimezishika njia za Mwenyezi Mungu; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa maana nimezishika njia za bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. Tazama sura |