Zaburi 18:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 BWANA alinitendea sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mwenyezi Mungu alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; amenilipa sawasawa na usafi wa mikono yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. Tazama sura |