Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 18:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Walinikabili siku ya msiba wangu, Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Walinivamia nilipokuwa taabuni, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa kinga yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Mwenyezi Mungu alikuwa msaada wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini bwana alikuwa msaada wangu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:18
12 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Daudi akamwambia BWANA maneno ya wimbo huu, siku ile BWANA alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na mkononi mwa Sauli;


Walinikabili siku ya msiba wangu; Lakini BWANA alikuwa tegemeo langu.


Hayo ndiyo niliyokuwa nayo, Kwa sababu nimeyashika mausia yako.


Nijapopitia katika shida, Unanilinda juu ya hasira ya adui zangu, Unaunyosha mkono wako, Na mkono wako wa kulia unaniokoa.


BWANA wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.


Nami nitaimba juu ya nguvu zako, Nitaimba kwa furaha juu ya fadhili zako asubuhi. Maana umekuwa ngome yangu, na kimbilio wakati wa mateso yangu.


Nami nitawatawanya mbele ya adui, kama kwa upepo wa mashariki; nami nitaviangalia visogo vyao, wala si nyuso zao, siku ya msiba wao.


Nami ninayakasirikia sana mataifa yanayostarehe; kwa maana mimi nilikuwa nimekasirika kidogo tu, nao wakayazidisha maafa.


Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao; Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.


Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo