Zaburi 18:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Kukapita mawingu yake makuu. Ikashuka mvua ya mawe na makaa ya moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Umeme ulimulika mbele yake; kukatokea mawinguni mvua ya mawe na makaa ya moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Umeme ulimulika mbele yake; kukatokea mawinguni mvua ya mawe na makaa ya moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Umeme ulimulika mbele yake; kukatokea mawinguni mvua ya mawe na makaa ya moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikashuka mvua ya mawe na miali ya radi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi. Tazama sura |
Kisha ikawa, hapo walipokuwa wakikimbia mbele ya Israeli, hapo walipokuwa wakiteremka Beth-horoni, ndipo BWANA alipowatupia mawe makubwa kutoka mbinguni juu yao hadi kufikia Azeka, nao wakafa; hao waliokufa kwa kuuawa na hayo mawe ya barafu walikuwa ni wengi kuliko hao waliouawa na wana wa Israeli kwa upanga.