Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 18:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Alifanya giza kuwa mahali pake pa kujificha, Kuwa hema yake ya kumzunguka. Akiwa katika giza la mawingu mazito yaliyojaa maji.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Alijifunika giza pande zote, mawingu mazito yaliyojaa maji yalimzunguka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Alijifunika giza pande zote, mawingu mazito yaliyojaa maji yalimzunguka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Alijifunika giza pande zote, mawingu mazito yaliyojaa maji yalimzunguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika, hema lake kumzunguka: mawingu meusi ya mvua ya angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika, hema lake kumzunguka, mawingu meusi ya mvua ya angani.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na kuziweka nguzo za ghorofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,


Maana atanisitiri bandani mwake siku ya mabaya, Atanisitiri katika sitara ya hema yake, Na kuniinua juu ya mwamba.


Katika shida uliniita nikakuokoa; Nilikuitikia kutoka maficho yangu ya radi; Nilikujaribu penye maji ya Meriba.


Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.


Mawingu na giza vyamzunguka, Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.


Kisha huo utukufu wa BWANA ukatoka pale juu ya kizingiti cha nyumba, ukasimama juu ya makerubi.


siku ya giza na huzuni, siku ya mawingu na giza kuu. Kama mapambazuko yakitandazwa juu ya milima, hao ni wakuu, tena wenye nguvu, mfano wao haukuwako kamwe, wala hautakuwako baada ya hao, hata katika miaka ya vizazi vingi.


Mkakaribia, mkasimama chini ya ule mlima; mlima ukawaka moto mpaka kati ya mbinguni, kwa giza na mawingu, na giza kuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo