Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 18:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Akapanda juu ya kerubi akaruka, Naam, aliruka upesi juu ya mabawa ya upepo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Alipanda kiumbe chenye mabawa akaruka; akapaa kasi juu ya mabawa ya upepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Alipanda kiumbe chenye mabawa akaruka; akapaa kasi juu ya mabawa ya upepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Alipanda kiumbe chenye mabawa akaruka; akapaa kasi juu ya mabawa ya upepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mabawa ya upepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo.

Tazama sura Nakili




Zaburi 18:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na kuziweka nguzo za ghorofa zake majini. Huyafanya mawingu kuwa gari lake, Na kwenda juu ya mabawa ya upepo,


Ee BWANA, uziinamishe mbingu zako, ushuke chini. Uiguse milima ili nayo itoe moshi.


Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.


BWANA ametamalaki, mataifa wanatetemeka; Ameketi juu ya makerubi, nchi inatikisika.


Tumekuwa kama watu usiowamiliki kamwe; kama watu wasioitwa kwa Jina lako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo