Zaburi 17:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Bali mimi nitauona uso wako katika haki; niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Na mimi katika haki nitauona uso wako, niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako. Tazama sura |