Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 17:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Inuka, Ee BWANA, umkabili, umwangushe, Kwa upanga wako uniokoe nafsi yangu na mtu mbaya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwakabili na kuwaporomosha. Kwa upanga uiokoe nafsi yangu kutoka kwa waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwakabili na kuwaporomosha. Kwa upanga uiokoe nafsi yangu kutoka kwa waovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwakabili na kuwaporomosha. Kwa upanga uiokoe nafsi yangu kutoka kwa waovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Inuka, Ee Mwenyezi Mungu, pambana nao, uwaangushe, niokoe kwa upanga wako kutoka kwa waovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Inuka, Ee bwana, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 17:13
16 Marejeleo ya Msalaba  

Inuka, Ee Mungu BWANA, uuinue mkono wako, Ee Mungu Usiwasahau wanyonge.


Wakati umewadia BWANA atende kazi; Kwa kuwa wameitangua sheria yako.


Uniponye nafsi yangu na upanga, Mpenzi wangu na nguvu za mbwa.


BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.


Amka, Bwana, mbona umelala? Ondoka, usitutupe milele.


Uinuke, uwe msaada wetu, Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako.


BWANA uondoke kwa hasira yako; Ujiinue Juu ya ujeuri wa watesi wangu; Uamke kwa ajili yangu; Umeamuru hukumu.


Ni nani atakayesimama Kwa ajili yangu juu ya wabaya? Ni nani atakayenisaidia Juu yao wafanyao maovu?


Je! Shoka lijisifu juu yake alitumiaye? Je! Msumeno ujitukuze juu yake auvutaye? Ingekuwa kana kwamba bakora ingewatikisa waiinuao, au fimbo ingemwinua yeye ambaye si mti.


Ole wake Ashuru! Fimbo ya hasira yangu, ambaye gongo lililo mkononi mwake ni ghadhabu yangu!


watu waliotoka katika nchi iliyo mbali, tokea upande wa mwisho wa mbingu; naam, BWANA na silaha za ghadhabu yake, ili aiangamize nchi yote.


Je! Hukusikia? Ni mimi niliyeyatenda hayo tokea zamani, na kuyafanya tokea siku za kale; nikayatimiza sasa, iwe kazi yako kuangamiza miji yenye boma, ibomoke na kuwa rundo la magofu.


Amka, amka, jivike nguvu, Ee mkono wa Bwana; Amka kama katika siku zile za kale, Katika vizazi vile vya zamani.


Ee BWANA, Mungu wangu, mtakatifu wangu, wewe si wa milele? Hatutakufa. Ee BWANA, umemwandikia hukumu, nawe, Ee Jabali, umemweka imara ili aadhibishwe.


ili wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo