Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 17:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Kama mfano wa simba atakaye kurarua, Kama mwanasimba aoteaye katika maotea yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Wako tayari kunirarua kama simba: Kama mwanasimba aviziavyo mawindo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Wako tayari kunirarua kama simba: Kama mwanasimba aviziavyo mawindo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Wako tayari kunirarua kama simba: kama mwanasimba aviziavyo mawindo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wamefanana na simba mwenye njaa anayewinda, kama simba mkubwa anayenyemelea mafichoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni.

Tazama sura Nakili




Zaburi 17:12
5 Marejeleo ya Msalaba  

Huotea faraghani kama simba pangoni, Huotea amkamate mtu mnyonge. Naam, humkamata mtu mnyonge, Na kumkokota akiwa wavuni mwake.


Wananifumbulia vinywa vyao, Kama simba apapuraye na kunguruma.


Asije akaipapura nafsi yangu kama simba, Akaniburura hadi pasipokuwa na wa kuniponya.


Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, ili kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, hata wasikie Mataifa yote; nami nikaokolewa kutoka kwa kinywa cha simba.


Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo