Zaburi 17:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Wamenifuatia; na sasa wananizunguka, Na kuyakaza macho yao watuangushe chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wananifuatia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wananifuatia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wananifuatia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini. Tazama sura |