Zaburi 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuliani mwangu, sitaondoshwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Nimemweka Mwenyezi Mungu mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Nimemweka bwana mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika. Tazama sura |