Zaburi 16:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 BWANA ndiye fungu la posho langu, Na la kikombe changu; Wewe unayaamua maisha yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mwenyezi Mungu umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama. Tazama sura |