Zaburi 16:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nao watakatifu waliopo duniani, ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Ni bora sana hao watakatifu walioko nchini, kukaa nao ndiyo furaha yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Ni bora sana hao watakatifu walioko nchini, kukaa nao ndiyo furaha yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Ni bora sana hao watakatifu walioko nchini, kukaa nao ndiyo furaha yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kuhusu watakatifu walio duniani, hao ndio wenye fahari, na ninapendezwa nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. Tazama sura |