Zaburi 150:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Msifuni Mwenyezi Mungu. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Msifuni bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. Tazama sura |