Zaburi 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Anayedharau waovu Machoni pake, Bali huwaheshimu wamchao BWANA Aliyeapa ingawa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ambaye humdharau mtu mbaya, lakini huwaheshimu wale wamwogopao Mwenyezi Mungu, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ambaye humdharau mtu mbaya, lakini huwaheshimu wale wamwogopao bwana, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia. Tazama sura |