Zaburi 15:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 BWANA, ni nani atakayekaa Katika hema yako? Ni nani atakayeishi Katika kilima chako kitakatifu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu? Tazama sura |