Zaburi 148:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Moto na mvua ya mawe, theluji na mvuke, Upepo wa dhoruba utimizao neno lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 miali ya radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazotimiza amri zake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazofanya amri zake, Tazama sura |
Kisha ikawa, hapo walipokuwa wakikimbia mbele ya Israeli, hapo walipokuwa wakiteremka Beth-horoni, ndipo BWANA alipowatupia mawe makubwa kutoka mbinguni juu yao hadi kufikia Azeka, nao wakafa; hao waliokufa kwa kuuawa na hayo mawe ya barafu walikuwa ni wengi kuliko hao waliouawa na wana wa Israeli kwa upanga.