Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 148:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Msifuni BWANA kutoka nchi, Enyi nyangumi na vilindi vyote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Msifuni Mwenyezi Mungu kutoka duniani, ninyi wanyama wakubwa wa baharini, na vilindi vyote vya bahari,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Mtukuzeni bwana kutoka duniani, ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari,

Tazama sura Nakili




Zaburi 148:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.


Akaenda, akamwona yule maiti ametupwa njiani, na punda na simba wamesimama karibu na maiti; yule simba alikuwa hakumla maiti, wala hakumrarua punda.


Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.


Katika siku hiyo BWANA, kwa upanga wake ulio mkali, ulio mkubwa, ulio na nguvu, atamwadhibu Lewiathani, nyoka yule mwepesi, na Lewiathani, nyoka yule mwenye kuzongazonga; naye atamwua yule joka aliye baharini.


Wanyama pori wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo