Zaburi 148:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Amevithibitisha hata milele na milele, Ametoa amri wala haitapita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yeye aliviweka mahali pao daima, kwa amri ambayo haiwezi kubatilishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yeye aliviweka mahali pao daima, kwa amri ambayo haiwezi kubatilishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yeye aliviweka mahali pao daima, kwa amri ambayo haiwezi kubatilishwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele. Tazama sura |