Zaburi 148:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Msifuni, enyi mbingu za juu, na maji yaliyo juu ya mbingu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Msifuni, enyi mbingu za juu, na maji yaliyo juu ya mbingu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Msifuni, enyi mbingu za juu, na maji yaliyo juu ya mbingu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, na ninyi maji juu ya anga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, na ninyi maji juu ya anga. Tazama sura |