Zaburi 148:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Msifuni, jua na mwezi; Msifuni, nyota zote zenye mwanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Msifuni, enyi jua na mwezi, msifuni, enyi nyota zote zingaazo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Msifuni, enyi jua na mwezi, msifuni, enyi nyota zote zingaazo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Msifuni, enyi jua na mwezi, msifuni, enyi nyota zote zing'aazo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi, msifuni yeye, enyi nyota zote zinazong’aa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Msifuni yeye, enyi jua na mwezi, msifuni yeye, enyi nyota zote zing’aazo. Tazama sura |