Zaburi 148:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Wafalme wa dunia, na watu wote, Wakuu, na watawala wote wa dunia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Msifuni enyi wafalme na mataifa yote; viongozi na watawala wote duniani! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Msifuni enyi wafalme na mataifa yote; viongozi na watawala wote duniani! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Msifuni enyi wafalme na mataifa yote; viongozi na watawala wote duniani! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia, Tazama sura |