Zaburi 147:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Humpa mnyama chakula chake, Wana-kunguru waliao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Huwapa wanyama chakula chao, na kuwalisha makinda ya kunguru yanapolia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Huwapa wanyama chakula chao, na kuwalisha makinda ya kunguru yanapolia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Huwapa wanyama chakula chao, na kuwalisha makinda ya kunguru yanapolia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia. Tazama sura |