Zaburi 147:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Huzifunika mbingu kwa mawingu, Huitengenezea nchi mvua, Na kuichipusha nyasi milimani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yeye hulifunika anga kwa mawingu, huitengenezea nchi mvua, na kuchipusha nyasi vilimani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yeye hulifunika anga kwa mawingu, huitengenezea nchi mvua, na kuchipusha nyasi vilimani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yeye hulifunika anga kwa mawingu, huitengenezea nchi mvua, na kuchipusha nyasi vilimani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. Tazama sura |