Zaburi 147:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Mwimbieni BWANA kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mwimbieni Mwenyezi Mungu kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mwimbieni bwana kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi. Tazama sura |