Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 147:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 BWANA huwategemeza wenye upole, Huwaangusha chini wenye jeuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Mwenyezi Mungu huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu hadi mavumbini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 bwana huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini.

Tazama sura Nakili




Zaburi 147:6
16 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini.


Kwa kuwa BWANA awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.


Wenye upole atawaongoza katika haki, Wenye upole atawafundisha njia yake.


Bali wenye upole watairithi nchi, Watajifurahisha kwa wingi wa amani.


Na atukuzwe BWANA, Mungu wa Israeli, Tangu milele hata milele. Amina na Amina.


Nawe, Ee Mungu, utawateremsha, Wafikie shimo la uharibifu; Watu wa damu na hila hawataishi nusu ya siku zao, Bali mimi nitakutumaini Wewe.


Mtafuteni BWANA, enyi nyote mlio wanyenyekevu wa dunia, ninyi mliozitenda hukumu zake; itafuteni haki, utafuteni unyenyekevu; huenda mtafichwa katika siku ya hasira ya BWANA.


Nanyi mtawakanyaga waovu; maana watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu; katika siku ile niifanyayo, asema BWANA wa majeshi.


Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.


Jidhilini mbele za Bwana, naye atawakuza.


bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.


Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake;


Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Humpandisha mhitaji kutoka jaani, Ili awaketishe pamoja na wakuu, Wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu; Kwa maana nguzo za dunia zina BWANA, Naye ameuweka ulimwengu juu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo