Zaburi 147:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu sifa, Maana ni mwenye fadhili, na anastahili kuimbiwa sifa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Jinsi gani ilivyo vizuri kumwimbia sifa Mungu wetu! Yeye ni mwema na astahili kuimbiwa sifa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Jinsi gani ilivyo vizuri kumwimbia sifa Mungu wetu! Yeye ni mwema na astahili kuimbiwa sifa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Jinsi gani ilivyo vizuri kumwimbia sifa Mungu wetu! Yeye ni mwema na astahili kuimbiwa sifa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Msifuni Mwenyezi Mungu. Tazama jinsi ilivyo vyema kumwimbia Mungu wetu sifa, jinsi inavyopendeza na kustahili kumsifu yeye! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Msifuni bwana. Tazama jinsi ilivyo vyema kumwimbia Mungu wetu sifa, jinsi inavyopendeza na kustahili kumsifu yeye! Tazama sura |