Zaburi 146:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; BWANA hufungua waliofungwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Yeye huwapatia wanaoonewa haki zao, huwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi-Mungu huwapa wafungwa uhuru, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Yeye huwapatia wanaoonewa haki zao, huwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi-Mungu huwapa wafungwa uhuru, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Yeye huwapatia wanaoonewa haki zao, huwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi-Mungu huwapa wafungwa uhuru, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Naye huwapatia haki waliodhulumiwa, na kuwapa wenye njaa chakula. Mwenyezi Mungu huwaweka wafungwa huru, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Naye huwapatia haki walioonewa na kuwapa wenye njaa chakula. bwana huwaweka wafungwa huru, Tazama sura |